MENEJIMENTI YA MOI YAWAPA ZAWADI NA SHUKURANI WATUMISHI WAKE
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam Menejimenti ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imetoa zawadi ya Sikukuu ya Krismas kwa watumishi wake 1052, ili kuwapa motisha ya kufanya kazi kwa bidii na kutoa huduma bora kwa wagonjwa . Zawadi hizo ambazo ni Kilo 15 za mchele, lita 2 za mafuta ya kupikia…