
CPA KASOLE:KAMPUNI TANZU ITASAIDIA KUKUZA BUNIFU ZETU
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MAMLAKA ya Elimu na Mafunzo Stadi (VETA) imeanzisha kampuni tanzu ambayo inahusika na kukuza bidhaa bunifu zinazotengenezwa kupitia vyuo vyake mbalimbali. Kauli hiyo imetolewa na Mkurungezi Mkuu wa VETA, Anthony Kasole wakati akizungumza na waandishi wa habari katika maonesho ya 49 ya Kimataifa ya kibiashara Sabasaba yanayoendelea. CPA Kasole alisema…