TTB YAMKARIBISHA BINGWA WA MASUMBWI DUNIANI TERENCE KWA ZIARA YA UTALII WA MICHEZO

Na MwandisMKURUGENZI wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Ephraim Mafuru, amemkaribisha nchini kwa mara ya kwanza bingwa wa masumbwi duniani, Terence Crawford, ambaye katika historia yake hajawahi kupoteza pambano lolote. Ziara hiyo ya wiki moja nchini imeandaliwa kwa ushirikiano kati ya Wizara ya Maliasili na Utalii pamoja na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo,…

Read Full News

MBIO ZA MSAKUZI PANDE GAME RESERVE ZAZINDULIWA RASMI

📍Utalii wa michezo wahamasishwa Na MwandishiWetu, Dar es Salaam. Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) kwa kushirikiana na Msakuzi Sports Promotion leo Julai 12,2025, imezindua rasmi msimu wa kwanza wa mbio za riadha zinazojulikana kama “Msakuzi Pande Game Reserve Marathon” zilizofanyika katika Hifadhi ya Pande iliyopo jijini Dar es Salaam. Akizungumza kwa niaba ya…

Read Full News

PROFESA KABUDI AWAAHIDI NIC KUWAPA MIRADI YA MICHEZO

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaa WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi amelitaja Shirika la Bima Taifa (NIC)kuwa ni miongoni mwa mashirika yanayostahili kupewa miradi ya kuendeleza mambo mbalimbali yakimichezo kutokana  na kudhihirisha uwezo wao katika usimamiaji wa miradi mbalimbali. Kauli hiyo imetolewa jana jijini Dar es Salaam wakati,akipokea ombi kutoka kwa…

Read Full News

TCAA YAADHIMISHA SIKU YA USAFIRI WA ANGA DUNIANI KWA KUSHIRIKI MBIO ZA MARATHON UDSM

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MAMLAKA ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) imetumia  Siku ya Kimataifa ya Usafiri wa Anga Duniani(ICAD) kushiriki katika mbio za Marathon zilizoandaliwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM). Mbio hizo zilizoongozwa  na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Dotto Biteko, zilihudhuriwa pia na Rais mstaafu wa awamu ya nne…

Read Full News