
NMB KUHUDUMIA ZAIDI YA WATEJA 900,000 SABASABA
Na Aziza Masoud,Dar es Salaam ZAIDI ya wafanyabiashara 3000 na wateja 900,000 wanatarajiwa kutembelea banda la benki ya NMB katika Maonesho ya 49 ya Biashara Dar es Salaam (DITF) maarufu kama Sabasaba kwa ajili yakupata huduma mbalimbali ikiwemo kufungua akaunti. Akizungumza leo Juni 30, 2030 katika viwanja vya Sabasaba,Mkuu wa Matawi na Mauzo wa benki…