VYOMBO VYA HABARI VINA NAFASI KULIPONYA TAIFA DHIDI YA UKATILI WA KIJINSIA

Na Mwandishi Wetu,PwaniVYOMBO vya habari vina nafasi kubwa katika kuhamasisha usawa wa kijinsia, kupinga ukatili dhidi ya wanawake na watoto, pamoja na kujenga jamii inayoheshimu haki za binadamu.Hata hivyo, mafanikio ya juhudi hizi yanategemea kwa kiasi kikubwa namna habari zinavyokusanywa, kuandikwa na kuwasilishwa kwa kuzingatia misingi ya uandishi unaojali masuala ya jinsia. Bado safari ni…

Read Full News

WAZAZI WASHIRIKIANE NA WALIMU KULINDA WATOTO DHIDI YA UKATILI

Na Mwandishi Wetu,Dar es SalaamMZAZI anapomkabidhi mtoto kwa mwalimu anakuwa na matumaini ya kurudishiwa akiwa salama, akiwa na maarifa na tabia njema zaidi ya alivyomuacha asubuhi. Hata hivyo, nyuma ya sare za shule na tabasamu zao, baadhi ya wanafunzi hubeba majeraha ya kimwili na kihisia yanayosababishwa na vitendo vya ukatili wanavyokumbana navyo nyumbani, shuleni au…

Read Full News

JE WATOTO WANAPATA NAFASI KUSIKILIZWA WANAYOPITIA?

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam“Tunapokutana na marafiki tunakumbushana kwenda kanisani pamoja, lakini wazazi wetu hawafahamiani sana. Nimefundishwa kuwa makini na watu nisio wajua na kuepuka maeneo hatarishi kama vichaka. Nikihisi mtu ananitia wasiwasi nitatoa taarifa kwa watu wazima au polisi,” hii ni sauti ya mtoto Nick Edward mwenye umri wa miaka tisa. Si ishara nzuri….

Read Full News

MAFANIKIO YA TRA 2025: ULIPAJI KODI WA HIARI, UWEZESHAJI BIASHARA NA MAPINDUZI YA MAKUSANYO YA MAPATO

Na Mwandishi Wetu Dar es Salaam MWAKA 2025 umeandika historia mpya kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kufuatia mafanikio makubwa yaliyopatikana katika ukusanyaji wa mapato, upanuzi wa wigo wa kodi, na uimarishaji wa mahusiano kati ya TRA na Walipakodi. Mafanikio haya yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na mwelekeo mpya wa utoaji huduma unaolenga ushirikishwaji, elimu, na…

Read Full News

MAHAKAMA KUU DIVISHENI YA BIASHARA,NGUZO YA HAKI,UKUZAJI UCHUMI WA TAIFA

Na Mwandishi Wetu,Dodoma KATIKA mazingira ya sasa ya kiuchumi yanayoendelea kubadilika kwa kasi, upatikanaji wa haki kwa haraka, haki na usawa ni msingi muhimu kwa ukuaji wa uchumi na ustawi wa Taifa. Mahakama Kuu ya Tanzania, kupitia Divisheni ya Biashara, imekuwa chombo mahsusi kilichoanzishwa kwa lengo la kutoa majibu ya haraka na yenye tija katika migogoro ya…

Read Full News