ANAYEFANYA KAZI BILA ‘PRESS CARD’ ANAVUNJA SHERIA- Prof. KABUDI

Na Mwandishi Wetu,Arusha WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Palamagamba Kabudi amesema yeyote anayefanya kazi za kihabari bila kuwa na Kitambulisho cha Uandishi wa Habari (Press Card) kinachotolewa na Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari-JAB anavunja sheria ya Huduma za Habari. Waziri Kabudi ametoa kauli hiyo huku akionesha Press Card yake kwenye…

Read More

TPDC YATWAA TUZO YA  MAZINGIRA SABASABA

Na Aziza Masoud,Dar es SalaamSHIRIKA la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeibuka mshindi na kupewa tuzo ya kuwa na mchango mkubwa  katika kulinda mazingira kupitia matumizi ya nishati safi katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam(DTIF) maarufu kama Sabasaba. Akizungumza mara baada ya kupokea tuzo hiyo, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa…

Read More

TANESCO YANOGESHA SABA SABA KWA KUGAWA  ZAWADI  YA MAJIKO YA UMEME

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam SHIRIKA la Umeme nchini (Tanesco) limetoa zawadi ya majiko ya umeme kwa wananci waliofika katika banda lao lililopo katika Viwanja vya Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ambao wamejibu maswali vizuri waliyoulizwa walipotembelea katika banda hilo. Akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 7,2025 katika viwanja vya maonesho hayo, Mkurugenzi…

Read More