
BIMA YA BEI NAFUU YA NIC YAMKOSHA PROFESA KABUDI
Na Aziza Masoud, Dar es Salaa. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi ameipongeza Shirika la Bima Taifa(NIC)kwa uanzishwaji wa Bima ya maisha (BeamLife) ambayo wahusika wanaweza kuchangia Sh 5000 kwa mwezi. Akizungumza hayo jana jijini Dar es Salaam wakati alipotembelea banda la NIC katika maonesho ya Kimataifa ya 49 ya Biashara…