WAZIRI NDEJEMBI AWASHA UMEME MWANUBI, ASEMA UMEME NI HITAJI LA MSINGI KWA WATANZANIA
Na Mwandishi Wetu,Shinyanga Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi, amewasha umeme katika Kitongoji cha Mwanubi mkoani Shinyanga na kusema kuwa huduma ya umeme ni hitaji la msingi kwa Watanzania na nyenzo muhimu katika kuchochea maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Akizungumza wakati wa hafla ya kuwasha umeme katika kitongoji hicho, Mhe. Ndejembi amesema kufikishwa kwa umeme…

