ZAIDI YA WAFANYABIASHARA 3,752 KUSHIRIKI MAONESHO YA SABASABA MWAKA HUU
Na Mwandishi Wetu,Dar es SalaamZAIDI ya wafanyabiashara 3,752 waliopo nchini pamoja na nchi 23 zinatarajiwa kushiriki Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba yanayoandaliwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (Tantrade) yatayoanza Juni 28 hadi Julai 13 mwaka huu. Akizungumza na waandishi wa habari leo Juni 24, 2026 Mkurugenzi Mkuu wa…

