taifatz

KIMWANGA ACHUKUA FOMU YA UDIWANI MAKURUMLA

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MGOMBEA wa nafasi ya udiwani Kata ya Makurumla iliyopo Magomeni mkoani Dar es Salaam kwa tıketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM)Bakari Kimwanga amechukua fomu ya kugombea nafasi hiyo huku akiahidi kuendelea kushirikiana na wana Makurumla kukamilisha miradi ya maendeleo. Akizungumza leo Agosti 19,2025 Bakari Kimwanga amesema wanachama wa Chama Cha Mapinduzi(CCM)…

Read Full News

MKUTANO WA WAKUU WA TAASISI ZA UMMA KUCHOCHEA MAGEUZI NA USHINDANI

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam KATIKA kuendeleza juhudi za Serikali kuhakikisha taasisi za umma zinakuwa sehemu hai ya uchumi wa kisasa, Ofisi ya Msajili wa Hazina imeandaa kikao kazi maalum ‘CEO Forum 2025’ kitakachowaleta pamoja Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa mashirika ya umma nchini wapatao 700. Mkutano huo unaotarajiwa kufanyika Agosti 23-26 jijini…

Read Full News

RAIS SAMIA AONGEZA AJIRA MPYA 300 TRA

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan ameridhia kuongeza ajira mpya 300 za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kufanya jumla ya ajira zote kufikia 1,896 kutoka 1,596 zilizotangazwa awali. Nyongeza hiyo imetokana na ombi la TRA la kuongeza nafasi za ajira 300 ambazo zilikasimiwa kwenye…

Read Full News

WAZIRI DKT. GWAJIMA AANISHA VIPAUMBELE VITANO WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII 2025/26

Na Mwandishi Wetu, Dodoma  Waziri wa Maendeleo ya Jamii. Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima ameainisha vipaumbele vya Wizara vikubwa vitano katika utekelezaji wa Bajeti kwa mwaka wa fedha 2025/2026. Dkt. Gwajima ameainisha hayo wakati akiwasilisha Bajeti ya  Wizara hiyo kwa Mwaka husika wa Fedha jana Mei 27, 2025 Bungeni jijini Dodoma….

Read Full News

TCB YAPATA FAIDA YA SH BILIONI 44

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam BENKI ya Biashara Tanzania (TCB) imetengeneza faida ya Sh Bilioni 44 kabla ya kodi katika mwaka wa fedha uliopita huku ikisisitiza kuwa kiasi hicho ni kikubwa zaidi kuwahi kutokea. Akizungumza na Waandishi wa habari leo Machi 26, 2025  wakati wa mkutano wa 33 wa wanahisa wa benki hiyo Mkurugenzi Mtendaji…

Read Full News

MADINI YA ALMASI YA SH BILIONI 1.7 YAKAMATWA YAKITOROSHWA UWANJA WA NDEGE MWANZA

Na Mwandishi Wetu,Mwanza Madini ya almasi yenye thamani ya zaidi ya Sh1.7 bilioni yamekamatwa yakitoroshwa kupitia Uwanja wa ndege wa Mwanza. Akizungumza na waandishi wa habari ljumaa usiku,Mei 23, 2025, Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amesema madini hayo yalikamatwa Mei 18, 2025 kwa ushirikiano kati ya vyombo vya ulinzi na taasisi mbalimbali za Serikali na…

Read Full News