SERIKALI YAZIDI KUHAMASISHA NISHATI SAFI, YATOA MITUNGI 225 KWA WATUMISHI GEREZA KUU MAWENI

Na Mwandishi Wetu,Tanga Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeendelea kuwezesha, kuhamasisha na kutoa elimu kuhusu umuhimu wa matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa watumishi wa magereza na wananchi ili kufikia malengo yaliyoainishwa kwenye mkakati wa kitaifa wa matumizi ya nishati safi ya kupikia (2024 – 2034). Hayo yamebainishwa leo Juni 24, 2025…

Read More

KATIBU MTENDAJI TUME YA MADINI AHIMIZA UBUNIFU WELEDI KWA WATUMISHI

Na Mwandishi Wetu,Dodoma KATIBU Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Ramadhani Lwamo, na Mkurugenzi wa Rasilimaliwatu na Utawala, Nsajigwa Kabigi, wametembelea banda la Tume ya Madini katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayohitimishwa leo katika viwanja vya Chinangali, jijini Dodoma. Katika ziara hiyo, viongozi hao wamejionea namna Tume ya Madini inavyoshiriki kikamilifu katika…

Read More

MWASANDENDE ASIFU JUHUDI ZA TUME YA MADINI

Na Mwandishi Wetu,Dodoma Afisa Elimu, Kazi na Jinsia kutoka Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania (TUGHE), Nsubisi Mwasandende, ameipongeza Tume ya Madini kwa juhudi kubwa inazozifanya katika kusimamia rasilimali za madini nchini na kuongeza mchango wake katika Pato la Taifa. Akizungumza katika maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea jijini Dodoma, Mwasandende…

Read More

MWAMBAGE:FURSA ZA MADINI ZIPO KIDIGITALI

Na Mwandishi Wetu,Dodoma SEKTA ya madini nchini Tanzania inaendelea kushamiri kwa kasi, ikifungua milango ya ajira, uwekezaji na maendeleo kwa wananchi na Taifa kwa ujumla. Serikali kupitia Tume ya Madini imeendelea kuweka mazingira wezeshi kwa kuhakikisha usimamizi madhubuti, uwazi, na ushirikishwaji wa wadau wote katika mnyororo mzima wa shughuli za madini. Haya yamekuwa ni matokeo…

Read More

MAONESHO YA UTALII NA UWEKEZAJI ZANZIBAR FURSA KWA WANANCHI KUJUA VIVUTIO VYA UTALII

Na Mwandishi Wetu, ZanzibarMAMLAKA ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) imeshiriki kwa mafanikio katika Maonesho ya Pili ya Utalii na Uwekezaji Zanzibar 2025, yanayofanyika katika viwanja vya Dimani, Fumba Zanzibar, na kufunguliwa rasmi na Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga. Kupitia ushiriki wake, NCAA…

Read More