TTB YAKUTANISHA WADAU KUJADILI MUSTAKABALI WA DESTINATION TANZANIA
Na Mwandishi Wetu,Arusha BODI ya Utalii Tanzania (TTB) imewakutanisha wadau mbalimbali wa sekta ya utalii katika Destination Tanzania Stakeholders Forum 2026 iliyofanyika jengo la Ngorongoro, Arusha, kwa lengo la kuimarisha ushirikiano katika kuitangaza Tanzania na kuongeza ushindani wa sekta ya utalii duniani. Jukwaa hilo liliwakutanisha wawakilishi kutoka serikalini, sekta binafsi, vyama vya utalii, waongoza watalii,…

