Tanzania na Korea Zatafuta Ushirikiano Imara wa Kiuchumi
Na Mwandishi Wetu Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amesema kuwa Tanzania na Korea Kusini zimekubaliana kuongeza kasi ya utekelezaji wa ahadi iliyotelewa na nchi hiyo ya dola za Marekani bilioni 2.5 kwa Tanzania kwa ajili ya kutekeleza miradi muhimu ya kimkakati itakayochochea maendeleo na ukuaji wa uchumi wa nchi katika sekta…

