Hubert Kiwale

TASHICO KUKAMILISHA UKARABATI WA MELI YA MV LIEMBA MWISHONI MWA JULAI

Na Mwandishi Wetu, KIGOMA Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amesema Serikali kupitia Kampuni ya Meli Tanzania (TASHICO) inatarajia kukamilisha ukarabati wa meli ya MV Liemba mwishoni mwa Julai 2026, hatua itakayorejesha huduma muhimu za usafiri na usafirishaji katika Ziwa Tanganyika Prof. Mbarawa amesema hayo mkoani Kigoma baada ya kukagua maendeleo ya ukarabati wa meli…

Read Full News

BILIONI 51 ZATUMIKA KUBORESHA UWANJA WA NDEGE KIGOMA – PROF. MBARAWA

Na Mwandishi Wetu Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amesema Serikali imetumia shilingi bilioni 51 kuboresha Kiwanja cha Ndege cha Kigoma, huku utekelezaji wa mradi huo ukiwa umefikia asilimia 67 na unatarajiwa kukamilika ifikapo Oktoba au Novemba 2026 Akizungumza baada ya kukagua maendeleo ya mradi huo mkoani Kigoma, leo tarehe 25 Juni, 2026 Prof. Mbarawa…

Read Full News

Spika Zungu aipongeza Serikali kwa kufanya marekebisho kwenye baadhi ya tozo na kodi 

Na Benny Mwaipaja, Dodoma Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu, ameipongeza Serikali inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuimwagia maua yake kwa kukubali kwa dhati kufanyia marekebisho baadhi ya tozo na kodi mbalimbali zilizokuwa zinapendekezwa kufanyiwa marekebisho katika Bajeti…

Read Full News

TANZANIA, UJERUMANI WASAINI MKATABA WA BILIONI 60.7 KUBORESHA HUDUMA YA MAJI MKOANI SONGWE

Na Benny Mwaipaja, Dodoma Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesaini mkataba wa msaada wa Euro milioni 20 sawa na shilingi za Tanzania bilioni 60.7 kutoka Serikali ya Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani kupitia Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KfW) kwa ajili ya kufadhili mradi wa Uboreshaji wa Huduma za Usambazaji Maji na Usafi…

Read Full News

BAJETI KUU YA SERIKALI TRILIONI 62.33

Na Mwandishi Wetu, DODOMA Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amewasilisha Mapendekezo ya Serikali kuhusu makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka 2026/2027, ambapo amesema Serikali inatarajia kukusanya na kutumia jumla ya shilingi trilioni 62.33, ikiwa ni ongezeko la asilimia 10.3 ikilinganishwa na bajeti ya mwaka 2025/26. Mhe. Balozi Omar amesema kuwa,…

Read Full News

HUO CHA BAHARI DAR ES SALAAM (DMI) NA CHUO KIKUU CHA BAHARI CHA DALIAN CHA UCHINA(DMU) WASAINI MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO

Dalian, China Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) kimesaini makubaliano ya ushirikiano na Chuo Kikuu cha Bahari cha Dalian Maritime University (DMU) cha nchini China lengo la makubaliano hayo ni kuimarisha ushirikiano wa kimataifa katika sekta ya elimu ya bahari. Mkuu wa chuo cha DMI, Prof Tumaini ushirikiano uliopo kati ya taasisi hizo mbili…

Read Full News

Tanzania yaunga mkono mbinu mpya kifedha zitakazosaidia kuimarisha sekta za usafiri wa anga na afya barani Afrika

Na Mwandishi Wetu Tanzania imeelezea msimamo wake wa kuunga mkono mbinu za fedha za mseto (blended finance) zitakazosaidia kuimarisha sekta za usafiri wa anga na afya barani Afrika, akieleza kwamba hakuna chanzo kimoja kitakachoweza kuziba mapungufu ya miundombinu ya bara hilo. Akizungumza kama Gavana Mbadala wa Tanzania kwenye mkutano ulioandaliwa na Benki ya Maendeleo ya…

Read Full News