Hubert Kiwale

Diwani wa Kata ya Same Mjini atoa wito kwa shule kupika chakula bora kwa wanafunzi

Na Ashrack Miraji Same kilimanjaro DIWANI wa Kata ya Same Mjini Mritha Emezitaka Shule ambazo zipo kwenye kata yake kuhakikisha zinapika chakula Bora Kwa wanafunzi wanaosoma shule hizo Mritha Ameyasema hayo akiwa katika ziara za kukagua miradi mbalimbali ndani ya Kata yake ambapo alitembelea Shule ya Msingi N.A iliyopo wilaya ya Same Mkoani kilimanjaro kukagua…

Read Full News

DC Same aritjishwa na hatua za haraka zilizochukuliwa na TANROAD kukarabati daraja la Kihulio

Na Ashrack Miraji, Same kilimanjaro Hatimae mawasiliano ya barabara baina ya wakazi wa Kisiwani-Maore, Ndugu,Kihurio na Bendera wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro yamerejea baada ya wakala wa Barabara nchini kufanikisha matengenezo ya Daraja Kihurio lililokuwa limeharibiwa vibaya na mvua zinazoendelea kunyesha wilayani humo. Mkuu wa wiaya ya Same Kasilda Mgeni akiwa na kamati ya ulinzi…

Read Full News

Serikali kuja na ‘MASTER PLAN’ ya miundombinu

Na Mwandishi Wetu Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi inaandaa Mpango Mkuu (Master Plan) wa Miundombinu ya nchi kulingana na mahitaji ya kiuchumi na kijamii itakayowezesha kurahisisha usafiri na usafrishaji kulingana na ongezeko la watu nchini.  Mpango huo utaangazia mtandao wa barabara wa nchi nzima kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) na Wakala wa Barabara za…

Read Full News