CHAVUA YA NYUKI YATAJWA KUWA NA FAIDA KIAFYA
Na Aziza Masoud, Dodoma WAKATI asali ikiendelea kuwa zao la nyuki linalofahamika na kutumiwa na Watanzania wengi, wazalishaji wa mazao ya nyuki wameanza kuhamasisha matumizi ya chavua ya nyuki (bee pollen), wakisema bado haijapata soko kubwa licha ya kuwa na virutubisho vinavyoweza kusaidia afya. Akizungumza katika banda la Benki ya Kilimo Tanzania (TADB) katika Maonesho…

