LHRC:Bajeti haina viashiria vya maendeleo

Na Aziza Masoud,Dar es SalaamKITUO Cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimesema mwaka wa fedha wa 2024/25 wananchi wasitegemee maendeleo makubwa au miradi mipya kwakuwa kwakiasi kikubwa fedha zimeelekezwa zaidi katika matumizi ya kawaida na kulipana mishahara. Kauli ya LHRC imetolewa wakati wabunge wakijadili bajeti ya Sh Trilioni 49.35 iliyowasilishwa na Waziri wa Fedha…

Read More

RUNGU LA DC SAME KUWASHUKIA WAZAZI WANAOTUMIA KESI ZA UKATILI WA KIJINSIA KWA WATOTO KAMA MTAJI KULIPANA FEDHA

Ashrack Miraji Same Kilimanjaro Mkuu wa Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro Mhe. Kasilda Mgeni amewaonya baadhi ya wazazi wanaotumia kesi za ukatili wa kijinsia kwa watoto kama mtaji kulipana fedha pindi anapofanyiwa ukatili kuacha mara moja tabia hiyo kwani kufanya hivyo kunapelekea kuathiri saikolojia na afya ya mtoto pamoja na kumfanya ashindwe kutimiza ndoto zake….

Read More

Mbowe:Karatu hawapaswi kuwa maskini

Na Mwandishi WetuMwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe amesema wananchi wa Karatu mkoani Arusha hawapaswi kuwa maskini kwakuwa mbali na mbuga zilizopo katika eneo hilo pia wanazalisha kitunguu bora ambacho kinauzwa nje ya nchi. Akizungumza katika mkutano uliofanyika eneo la Mang’ola Karatu Mbowe amesemaenwo hilo lenye kilomita za mraba 3000 kati…

Read More

DC SAME ATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA ALIYEKUWA KATIBU TAWALA MKOA KILIMANJARO DKT. TIXON NZUNDA

Na Ashrack Miraji, Same Mkuu wa Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro Mhe. Kasilda Mgeni akitoa heshima ya mwisho kwa aliyekua Katibu tawala wa mkoa huo Dkt.Tixon Nzunda, nyumani kwake Manispaa ya Moshi kabla ya kuanza safari ya kuelekea Dar es Salam nyumbani kwake na baadae Mkoani Songwe kutakapo fanyika shughuli za Maziko. “Wananchi wa Wilaya…

Read More

WAUZA DHAHABU,MAAFISA MADINI WAMTAJA RAIS DKT,SAMIA KUKUA UCHUMI SEKTA YA MADINI

Na Mwandishi Wetu ‘’Uwepo wa soko la Pamoja chanzo kupaa uchumi,wachimbaji wadogo wakichangia asilimia 51 pato la Taifa,utoroshwaji madini haupo Rais Dkt,Samia anapaswa kupongezwa’’ WANUNUZI wa madini ya dhahabu mkoani Songwe,wamempongeza Rais Dkt,Samia Suruhu kwa kufanya mapinduzi ya kiuchumi katika sekta hioyo,iliyopelekea kupaa mara dufu kimapato ukilinganisha na miaka ya nyuma..anaripoti Ibrahim Yaasin,Songwe. Wakizungumza leo…

Read More

WACHIMBAJI MADINI YA CHOKAA ZAIDI YA 300 WAOMBA KUKOPESHEKA KUONGEZA TIJA NA KUTUNZA  MAZINGIRA

Na Ibrahim Yassin,Songwe KUNDI la vijana wanaojishughulisha na uchimbaji wa chokaa kijiji cha Nanyala wilayani Mbozi mkoani Songwe wameiomba serikali na wadau wengine kuwawezesha ili waweze kukopesheka kuongeza tija katika uzarishaji.. Kundi hilo la vijana zaidi ya 300 wametoa maombi hayo ili waweze kuchimba na kuchoma chokaa kisasa kwa kutumia makaa ya mawe ukilinganisha na…

Read More