KUKAMILIKA DARAJA KUTAOKOA WANANCHI KULIWA NA MAMBA MTO MWALISI
Na Ibrahim Yassin,Songwe WANANCHI wa vijiji vya Lupeta , Mwalisi na Lema wameishukuru serikali inayoongozwa na Rais Dkt,Samia kupitia Serikali chini ya Shirika la Taifa la Madini STAMICO kwa kurahisisha mawasiliano na kuwanusurua na vifo vitakanavyo na ajali za kusombwa na maji mto Mwalisi. Daraja la mto Mwalisi ni moja ya Daraja hatari mkoani humo…