Nape: Tuna wajibu wa kuilinda nchi yetu

Na Mwandishi Wetu,  Dar es Salaam Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Moses Nnauye (Mb) amewataka Wanachama wa Jumuiya ya Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii Tanzania (JUMIKITA), kutumia vizuri majukwaa yao ya habari mtandaoni kujipatia kipato ili kukuza maisha yao.  Waziri Nape ameyasema hayo alipokutana na wadau wa jumuiya hiyo tarehe 5…

Read More

UDOM kufungua kampasi Njombe

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam  CHUO Kikuu Cha Dodoma(UDOM) kinatarajia kuzindua kampasi mpya mkoani Njombe  ambapo inatarajia kujikita zaidi katika maeneo ya misitu na kilmo kwa lengo la kufungua ajira katika eneo hilo na mikoa ya jirani. Akizungumza katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Mipango…

Read More

Wananchi watakiwa kutembelea banda la GCLA Sabasaba

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MWAKILISHI  wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA) Stafford Maugo, amewataka wananchi wa kitembelea banda lao katika Maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba) kujionea shughuli mbalimbali wanazofanya ili waweze na kujifunza kuhusu masuala ya kemikali. Amesema kupitia maonesho hayo watawaelezea aina ya chunguzi wanazofanya kwa kushirikiana…

Read More

REA kutumia Sh Bilioni 35.2 kuweka nishati zakupikia kwenye magereza

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam WAKALA wa Nishati Vijijini(REA), inatarajia kutumia Sh. Bilioni 35.2 kwa ajili ya kutekeleza mradi wa matumizi ya nishati safi yakupikia katika magereza 129 nchini katika kipindi cha miaka mitatu. Lengo la mradi huo ni kupunguza matumizi ya nishati inayoharibu mazingira kwenye taasisi zinazohudumia watu zaidi ya 100. Akizungumza kwenye maonesho…

Read More