PURA:Asilimia 80 ya wananchi watatumia nishati safi ifikapo 2034
Na Aziza Masoud,Dar es Salaam MAMLAKA ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli(PURA) imeweka malengo yakuhakikisha ifikapo mwaka 2034 matumizi ya nishati safi yakupikia kwa wananchi yafikie asilimia 80 ili kuweza kupunguza matumizi ya nishati ambayo inachafua mazingira. Akizungumza katika jana Maonesho ya 48 ya Biashara maarufu kama Sabasaba Mkurugenzi Mkuu wa PURA Mhandisi Charles…