NIC yawaalika wawekezaji wenye miradi mikubwa kukata bima
Na Aziza Masoud,Dar es Salaam SHIRIKA la Bima laTaifa (NIC) limewashauri wawekezaji ambao wanakuja kutekeleza miradi mikubwa nchini kukata bima inayohusu uwekezaji ili waweze kufanya shughuli zao bila hofu. NIC imetoa kauli hiyo jana wakati wa kilele cha maazimisho ya Maonesho ya 48 ya Biashara maarufu kama Sabasaba ambapo pia walifanikiwa kupata tuzo ya mshindi…