WATUMISHI MVOMERO WAMUUNGA MKONO RAIS SAMIA KUHAMASISHA UTALII
Na Mwandishi wetu WATUMISHI wa kada mbalimbali wa Wilaya ya Mvomero wakiongozwa na Katibu Tawala wa Wilaya hiyo, Saidi Nguya wameunga mkono juhudi za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuhamasisha na kutangaza vivutio vya utalii nchini kwa kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Mikumi. Akizungumza na Waandishi wa habari Julai 6, 2024,Saidi Nguya amesema Rais Dkt….