SH BILIONI 1.8 KUKOPESHA WAJASIRIAMALI WANAWAKE,VIJANA,WALEMAVU ZANZIBAR
Na Aziza Masoud,Dar es Salaam SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) kupitia Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar (ZEEA) imetenga Sh Bilioni 1.8 kwa ajili ya kutoa mikopo kwenye vikundi vya wajasiriamali wanawake,vijana na walemavu ili kuweza kuwainua kiuchumi kwakuboresha biashara. Mikopo hiyo itakayotoka kwa njia ya vikundi vya watu wasiopungua kumi itatolewa na ZEEA kwakushirikiana Benki ya Biashara…