MOI YAADHIMISHA MIAKA 20 YA UPASUAJI WA NYONGA NA MAGOTI
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salam TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) inaadhimisha miaka 20 ya mafanikio ya matibabu ya upasuaji wa nyonga na magoti kwa kuweka kambi maalum ya upasuaji mpya na wa marudio wa viungo hivyo. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa MOI Dkt. Lemeri Mchome amesema wakati wa ufunguzi wa kambi hiyo…