TCB YAENDELEA KUCHOCHEA MAENDELEO YA KIUCHUMI KWA KUTOA USHIRIKIANO KATIKA MIRADI YA MIUNDOMBINU

Na Mwandishi Wetu,Dodoma  Benki ya Biashara Tanzania (TCB)  imesema inajivunia kuwa sehemu ya mradi wa reli ya kisasa (SGR) uliozinduliwa hivi karibuni kwa safari ya kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma.  Akihutubia katika uzinduzi huo jijini Dodoma, Mheshimiwa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan aliuelezea mradi huo kuwa kielelezo cha maendeleo makubwa ya kimiundombinu na ya taifa…

Read More

WAKULIMA WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA ZINAZOTOLEWA NA TAASISI ZA KILIMO

Na Mwandishi Wetu,Dodoma WAKULIMA nchini wameshauriwa kuchangamkia fursa mbalimbali zinazotolewa na taasisi za kilimo pamoja na kibenki zinazolenga kuwawezesha kukuza mnyororo wa thamani katika sekta hiyo hatimae kuchangia pato la taifa.  Haya yameelezwa mkoani Dodoma katika maonesho ya kilimo na ufugaji maarufu Nane Nane na wadau wa fedha na kilimo wakati Naibu Waziri wa Kilimo…

Read More

WAKILI NKUBA KUPINGA MATOKEO YA UCHAGUZI URAIS TLS MAHAKAMANI

Na Mwandishi Wetu,Dodoma ALIYEKUWA urais wa Chama Cha Mawakili Tanganyika (TLS), Wakili Sweetbert Nkuba ametangaza kupinga matokeo mahakamani yaliyompa ushindi Wakili Boniface Mwabukusi huku akitaja sababu mbalimbali anazodai zimehujumu uchaguzi huo. Akizungumza jana jijini Dodoma, Wakili Nkuba amesema hakubaliani na matokeo hayo na anapinga  matokeo yaliyotangazwa na Kamati ya uchaguzi ya TLS kwasababu si matokeo yanayoakisi…

Read More

SH BILIONI 1.8 KUKOPESHA WAJASIRIAMALI WANAWAKE,VIJANA,WALEMAVU ZANZIBAR

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) kupitia Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar (ZEEA) imetenga Sh Bilioni 1.8 kwa ajili ya kutoa mikopo kwenye  vikundi vya wajasiriamali wanawake,vijana na walemavu ili kuweza kuwainua kiuchumi kwakuboresha biashara. Mikopo hiyo itakayotoka kwa njia ya vikundi vya watu wasiopungua kumi itatolewa  na ZEEA kwakushirikiana  Benki ya Biashara…

Read More