ASILIMIA 85.5 YA WANAFUNZI HAWAJAWAHI KUSHIRIKISHWA VIKAO VYA MAAMUZI
Na Aziza Masoud,Dar es Salaam ASILIMIA 44.4 ya wanafunzi wa shule za Sekondari hawana uelewa wa masuala ya demokrasia huku asilimia 85.5 hawajawahi kushiriki wala kushirikishwa katika vikao rasmi vya uamuzi vya shule. Akizungumza leo jijini Dar es Salaam,Mmoja wa wasichana Viongozi kutoka Shule ya Msingi Boma ,Esther Abduely kuhusu maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike (IDGC…