DK.KIJAJI:TUMEFANIKIWA KUZUIA TANI 216 ZA UZALISHAJI KEMIKALI HATARI
Na Mwandishi Wetu,Dodoma WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Ashatu Kijaji amesema Tanzania imefanikiwa kuzuia tani 216 sawa na asilimia 86 ya uzalishaji wa kemikali hatari kwa tabaka la ozoni ambazo zingeingia nchini na kuleta madhara. Amesema mafanikio hayo yamekuja kutokana na Tanzania kuungana na nchi zingine duniani kuridhia…