EQUITY,SSB KUWAWEZESHA WAFANYABIASHARA KUKOPA KIDIGITALI
Na Aziza Masoud,Dar es Salaam BENKI ya Equity imesema wafanyabiashara ambao wanatumia bidhaa za kampuni ya Said Salim Bakhresa(SSB) kwa sasa wana uwezo wakukopeshwa bidhaa hiyo hadi zaidi ya Sh Milioni 300. Akizungumza wakati wa kusaini makubaliano hayo leo,Mkurugenzi wa biashara wa benki ya Equity Leah Ayoub amesema makubaliano hayo yaliyoanza 2021. “Tunajua wasambazaji na wajasiriamali wengi wanapata ya…