ASILIMIA  85.5 YA WANAFUNZI HAWAJAWAHI KUSHIRIKISHWA VIKAO VYA MAAMUZI

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam ASILIMIA 44.4 ya wanafunzi wa shule za  Sekondari hawana uelewa wa masuala ya demokrasia  huku asilimia 85.5 hawajawahi kushiriki wala  kushirikishwa katika vikao rasmi vya uamuzi vya shule. Akizungumza leo jijini Dar es Salaam,Mmoja wa wasichana Viongozi kutoka Shule ya Msingi Boma ,Esther Abduely kuhusu   maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike (IDGC…

Read More

DHAHABU KILO 15.78 YENYE THAMANI YA TSH BILIONI 3.4 YAKAMATWA YAKITOROSHWA BANDARINI

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam Waziri wa Madini, Anthony Mavunde ametangaza kukamatwa kwa madini ya dhahabu kilo 15.78 bandarini yalipokuwa yakitoroshwa. Akizungumza  Jijini Dar es Salaam leo Septemba 11, alipokutana na wanahabari ili kuuhabarisha umma wa Watanzania juu ya tukio hilo. “Nchi yetu inazo sekta kadhaa za uzalishaji ambazo mapato yake ndiyo msingi wa maendeleo ya uchumi…

Read More

WATETEZI WA HAKI ZA BINADAMU WATAKA TUME HURU KIFO CHA KIBAO

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeiomba Serikali kuunda tume huru ya kiraia itakayochunguza matukio yote yanayohusisha kutekwa na kupotea kwa watu mbalimbali nchini ili kumaliza changamoto hiyo. Mtandao huo pia umependekeza kuridhiwa kwa mikataba miwili ambayo imejikita katika kupambana na matukio hayo yaani ule unaopambana…

Read More

KIJIJI KWA KIJIJI DAWASA CHALINZE

Na Mwandishi Wetu,Chalinze Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeendelea na uelimishaji wa makundi mbalimbali ya kijamii juu ya utunzaji na uhifadhi wa Miundombinu ya maji. Uelimishaji huo pia umejikita pia katika kuielekeza jamii matumizi sahihi ya huduma ya Majisafi pamoja na kusikiliza changamoto za kihuduma kwa Wananchi wanaohudumiwa na…

Read More

DCEA yakamata kilogramu 1,815 za skanka

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam MAMLAKA  ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imekamata kilogramu  1,815 za dawa za kulevya aina ya skanka katika operesheni iliyofanyika jijini Dar es Salaam.  Ukamataji huo uliohusisha watuhumiwa watano wanaodaiwa kuhusika na dawa hizo umefanyika kupitia operesheni  iliyofanyika Agosti 28 hadi Septemba 2 mwaka huu katika maeneo ya Luguruni Mbezi…

Read More

MCHENGERWA AWATAKA UDART KUKAMILISHA MABASI 670 IFIKAPO DESEMBA

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa (Tamisemi) Mohamed Mchengerwa amesema mahitaji ya  mabasi ya mwendo kasi kwa njia za Ubungo na Mbagala ambayo barabara yake  imeshakamilika  ni zaidi ya 670  na kuitaka   Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART)  kuhakikisha wanakamilisha idadi hiyo kabla ya Desemba mwaka huu. Mchengerwa ametoa kauli…

Read More