WATAHINIWA 974,229 WAFAULU DARASA LA SABA

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam BARAZA la Mtihani la Tanzania (NECTA) limesema jumla ya  watahiniwa 974,229 sawa na asilimia 80.87  kati ya watahiniwa 1,204,899 ambao asilimia ni 97.90  ya waliofanya mtihani wakumaliza elimu ya msingi 2024  wamefaulu. Akizungumza jijini Dar es Salaam leo Oktoba 29,Katibu Mtendaji wa NECTA Dk.Saidi Mohamed amesema jumla ya watahiniwa 1,230,774 walisajiliwa kufanya Mtihani…

Read More

GCLA KUANZA KUKAGUA RANGI ZENYE MADINI RISASI

Na Aziza Masoud,Dar Es Salaam MAMLKA ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA)  imesema  wanaanza utaratibu wakukagua rangi za nyumba  lengo ni kubaini uwepo wa madini ya risasi  katika rangi zinazotengenezwa ndani na nje ya nchi. Akizungumza wakati wa mkutano uliowakutanisha wadau wa rangi ikiwa ni sehemu  kuazimisha wiki ya kuzuia matumizi ya sumu itokanayo na madini ya risasi,Mkurugenzi…

Read More

WATANZANIA WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA YAKUJIFUNZA USIMAMIZI WA MIRADI

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam BENKI ya Biashara Tanzania (TCB) imewataka watanzania ambao wapo katika taasisi mbalimbali  kujifunza kwa weledi usimamizi wa miradi ili kujua jinsi yakusimamia miradi kama ilivyo wataalam wa nchi za  nje ambao baadhi wamekuwa wakichukua tenda zilizopo nchini. Katika sekta hiyo takwimu zinaonesha kuwa kwa mwaka jana, Afrika ilikuwa na chini ya mafunzo…

Read More

SERIKALI YAWATAKA WADAU KUTEKELEZA MKAKATI WA TAIFA WA NISHATI SAFI

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam WIZARA ya Nishati imetoa rai kwa mashirika na wadau mbalimbali nchini wakiwemo Puma Energy Tanzania kuendelea kushirikiana kufanikisha azma ya Serikali ya kuhakikisha inatekeleza ipasavyo mkakati wa Taifa  wa nishati safi ya kupikia unaolenga asilimia 80 ya wananchi kutumia gesi ifikapo mwaka 2034 . Akizungumza katika hafla ya utoaji wa Tuzo…

Read More

BANDARI YA TANGA INAVYOWEZESHA UTELEKEZAJI WA MIRADI YA KIMKAKATI HUKU MIZIGO IKIONGEZEKA

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kupitia Bandari ya Tanga, inachukua nafasi muhimu katikakuwezesha miradi mikubwa ya kimkakati kitaifa na kikanda, ikiwemo mradi mkubwa wa bomba la mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) lenye urefu wa kilomita 1,443.  Bomba hili litahudumia usafirishaji wa mapipa 216,000 yamafuta ghafi kwa siku…

Read More

KAZI  250 ZAWASILISHA KAZI TUZO ZA SAMIA KALAMU AWARDS

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam  WASHIRIKI 250  kutoka mikoa 23 wamewasilisha kazi kwa ajili ya kushindania tuzo za ‘Samia Kalamu Awards’ zilizoandaliwa na Chama Cha Waandishi was Habari Wanawake nchini (Tamwa) na Mamlaka  ya Mawasiliano nchini (TCRA) ikiwa zimebaki siku sita kufungwa kwa zoezi hilo. Akizungumza jijini Dar es Salaam leo Oktoba 24,Mkurugenzi Mtendaji wa Tamwa Dk.Rose…

Read More

WHI YAPATA TUZO YA NYUMBA ZA GHARAMA NAFUU AFRIKA

Na Aziza Masoud, Dar es Salaam  WATUMISHI Housing Investment (WHI) imetunukiwa tuzo ya watoa huduma ya  ‘Nyumba za gharama nafuu zaidi Afrika’ iliyotolewa na Taasisi ya Mikopo ya Nyumba Afrika inayotambuliwa na nchi za Umoja wa Afrika. Tuzo hiyo imetolewa katika mkutano Mkuu wa AUHF mwaka 2024 uliofanyika Zanzibar hivi karibuni ambapo taasisi hiyo iliibuka kinara…

Read More

KASEKENYA AZINDUA BARAZA LA WAFANYAKAZI CRB

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam NAIBU Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya amezindua Baraza la Wafanyakazi la Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB) na kuzungumzia umuhimu wa chombo hicho kuwa kiungo cha kuleta ustawi, tija na ufanisi mahali pakazi. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi jijini Dar es Salaam, Oktoba 22,2024 Mhandisi Kasekenya amesema mahali popote…

Read More