NAIBU WAZIRI MKUU APONGEZA TUME YA MADINI KWA UKUSANYAJI WA MADUHULI
Na Mwandishi Wetu,Geita NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amepongeza Tume ya Madini kwa kuendelea kuvuka lengo la ukusanyaji wa maduhuli na kusisitiza kuendelea kuweka mikakati ya kuhakikisha wanavuka lengo walilopewa na Serikali la kukusanya kiasi cha shilingi Trilioni Moja katika mwaka wa fedha 2024/2025. Dkt. Biteko ameyasema hayo leo Oktoba…