TCB YAJIANDAA KUJIUNGA SOKO LA HISA
Na Aziza Masoud,Dar es Salaam BENKI ya Biashara Tanzania(TCB) imewataka wafanyabiashara nchini kutumia huduma zao ili kuweza kukua zaidi kwakuwa wapo mbioni kujiunga na soko la hisa. Kauli hiyo jijini Dar es Salaam leo Oktoba 8 na Mkurugenzi wa Biashara kwa Wateja Wadogo na Wakati wa benki hiyo, Lilian Mtali alipokuwa akizungumza na wateja wa benki hiyo…