TRA YAZINDUA OFISI YA WALIPA KODI WENYE HADHI YA JUU

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam MAMLAKA ya Mapato Nchini (TRA) imezindua Ofisi ya walipa kodi binafsi  wenye hadhi ya juu ambapo kwakuanza  wateja 158 wamekidhi vigezo vyakuhudumiwa wakiwemo wamiliki wa kampuni binafsi 111 zinazoingiza mapato ya Sh Bilioni 20 kwa mwaka. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa ofisi hiyo iliyopo katika jengo la Golden Jubilee Tower,Kamishna Mkuu wa  TRA,…

Read More