SERIKALI KUWEZESHA  VIFAA VYA UONGEZAJI THAMANI MADINI YA VITO NA USONARA KWA VIJANA

Na Mwandishi Wetu,Dodoma Imeelezwa kwamba Wizara ya Madini kupitia Mpango wa Uchimbaji Madini wa Kesho yenye matumaini (MBT) kwa vijana watakaohitimu katika Kituo cha Jimolojia Tanzania (TGC)  kuwawezesha kwa kuwapatia vifaa na mashine za Uchongaji, Ukataji na Usafishaji madini ghafi zitakazo pelekea kuwa bidhaa bora zenye thamani ya juu. Hayo yameelezwa Oktoba 16, 2024 na Waziri…

Read More

MRADI WA SH BILIONI 678.6 WA TPA KULETA MAPINDUZI YA UPAKUAJI MAFUTA BANDARI YA DAR ES SALAAM

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam.  TANZANIA kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), inatekeleza mradi wa Sh Bilioni 678.6 ambao utaboresha utaratibu wa upakuaji mafuta katika Bandari ya Dar es Salaam. Ujenzi wa Tanks Farm (Matanki ya Mafuta), ambao umefikia asilimia saba, unatarajiwa kuboresha usimamizi wa shehena ya mafuta katika Bandari ya Dar es…

Read More