WANANCHI WATAKIWA KUWA NA UTAMADUNI WA KUTENGANISHA TAKA
Na Aziza Masoud,Dar es Salaam JAMII imetakiwa kuwa na utamaduni wa kutenganisha taka rejeshi na taka ambazo sio rejeshi ili kuweza kupunguza uzalishaji wa taka ambapo kwa sasa jiji la Dar es Salaam linazalisha tani 1320 kwa siku. Akizungumza wakati wa kuzindua mradi wa taka sifuri ‘zero waste’ katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Jangwani unaosimamiwa na shirika la Mazingira…