BANDARI YA TANGA INAVYOWEZESHA UTELEKEZAJI WA MIRADI YA KIMKAKATI HUKU MIZIGO IKIONGEZEKA
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kupitia Bandari ya Tanga, inachukua nafasi muhimu katikakuwezesha miradi mikubwa ya kimkakati kitaifa na kikanda, ikiwemo mradi mkubwa wa bomba la mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) lenye urefu wa kilomita 1,443. Bomba hili litahudumia usafirishaji wa mapipa 216,000 yamafuta ghafi kwa siku…