GCLA KUANZA KUKAGUA RANGI ZENYE MADINI RISASI

Na Aziza Masoud,Dar Es Salaam MAMLKA ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA)  imesema  wanaanza utaratibu wakukagua rangi za nyumba  lengo ni kubaini uwepo wa madini ya risasi  katika rangi zinazotengenezwa ndani na nje ya nchi. Akizungumza wakati wa mkutano uliowakutanisha wadau wa rangi ikiwa ni sehemu  kuazimisha wiki ya kuzuia matumizi ya sumu itokanayo na madini ya risasi,Mkurugenzi…

Read More

WATANZANIA WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA YAKUJIFUNZA USIMAMIZI WA MIRADI

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam BENKI ya Biashara Tanzania (TCB) imewataka watanzania ambao wapo katika taasisi mbalimbali  kujifunza kwa weledi usimamizi wa miradi ili kujua jinsi yakusimamia miradi kama ilivyo wataalam wa nchi za  nje ambao baadhi wamekuwa wakichukua tenda zilizopo nchini. Katika sekta hiyo takwimu zinaonesha kuwa kwa mwaka jana, Afrika ilikuwa na chini ya mafunzo…

Read More

SERIKALI YAWATAKA WADAU KUTEKELEZA MKAKATI WA TAIFA WA NISHATI SAFI

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam WIZARA ya Nishati imetoa rai kwa mashirika na wadau mbalimbali nchini wakiwemo Puma Energy Tanzania kuendelea kushirikiana kufanikisha azma ya Serikali ya kuhakikisha inatekeleza ipasavyo mkakati wa Taifa  wa nishati safi ya kupikia unaolenga asilimia 80 ya wananchi kutumia gesi ifikapo mwaka 2034 . Akizungumza katika hafla ya utoaji wa Tuzo…

Read More