TRC:TRENI YA MCHONGOKO TUNAHUJUMIWA 

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC) limesema tukio lililotokea Novemba  3,2024  ambalo lilisababisha  treni ya mchongoko (EMU)  kusimama kwa takribani saa sita  ni hujuma zilizohusisha kukatika ama kukatwa kwa nyaya (catenary) zinazochukua umeme kutoka njia ya umeme kupeleka kwenye treni. Taarifa iliyotolewa leo Novemba 06,2024 na Mkuu wa Kitemgo cha Uhusiano TRC,Fredy Mwanjala imesema taarifa zilizosambaa  kuwa…

Read More

SERIKALI YAELEZA JITIHADA INAZOCHUKUA KUWEZESHA MATUMIZI YA GESI KWENYE MAGARI

Na Mwamdishi Wetu,Dar es Salaam SERIKALI imetoa msamaha wa kodi ya ushuru wa forodha (customs duty)  asilimia 25 kwa injini za magari yanayotumia gesi asilia yanapoingizwa nchini. Kauli hiyo imetolewa leo Novemba 06,2024 Bungeni mjini Dodoma  na Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum Grace Tendega. Tendega alitaka  kufahamu mpango wa…

Read More

MKUU WA WILAYA YA MALINYI  AVISHUKURU VYAMA VYA SIASA

Na Mwandishi Wetu,Morogoro MSIMAMIZI wa uchaguzi katika jimbo la Malinyi ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri  ya Wilaya ya Malinyi  Khamis Katimba amevishukuru vyama vya siasa kwa ushirikiano mkubwa wanaompatia katika kipindi ambacho nchi inaelekea katika uchaguzi wa Serikali za mitaa na kuongeza kuwa ushirikiano huo umemwezesha kutekeleza majukumu kwa ufanisi. Katimba meyasema hayo Otoba 5,…

Read More