ULEGA:TUMUOMBEE RAIS SAMIA APATE NGUVU YAKUENDELEA KUTUONGOZA

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam WATANZANIA wametakiwa kuendelee kumuombea dua Rais Dk.Samia Suluhu Hassan ili aendelee kupata nguvu kufanya mambo makubwa  ya maendeleo nchini na kwamba wanapaswa kuhakikisha anapata uhakika wakuendelea kuongozo nchi kupitia uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2025. Kauli hiyo imetolewa jana usiku Desemba 14,2024 na Mbunge wa Mkuranga Abdalla Ulega katika hafla ya…

Read More

EQUITY,ADC TANZANIA KUWAPIGA MSASA WAFANYABIASHARA WANAWAKE

Na Aziza Masoud,Dar es Salam Benki ya Equity Tanzania  imeanza programu ya darasa maaalum la mafunzo  kwa ajili wafanyabiashara wadogo na wakati waliopo nchini kwa lengo la kuwasaidia kukuza biashara zao na kuwasaidia kupata mikopo benki. Mafunzo hayo ya mwaka mmoja yatatolewa na benki hiyo kwakushirikiana na Kampuni ya ADC Tanzania pamoja na African Fund kupitia  programu maalumu…

Read More

MNADA WA MADINI YA VITO KUZINDULIWA RASMI DESEMBA 14

Na Mwandishi Wetu,Manyara WAZIRI wa Madini Anthony Mavunde anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mnada wa  madini ya  vito  unaotarajiwa kufanyika katika mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara, ili kuyaongezea thamani madini hayo. Mnada huo ambao ulisimama kwa muda, umepangwa kufanyika tena kwa mara ya kwanza Desemba 14, 2024. Akizungumza leo Desemba 12,2024 Mavunde amesema madini ya…

Read More

DK.GWAJIMA AWATAKA WAHITIMU KUJIENDELEZA KIELIMU

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima ametoa wito kwa wahitimu wa Chuo cha Ustawi wa Jamii kutokubweteka na kiwango cha elimu walichokipata bali  wajiendeleze zaidi kwa maslahi mapana ya Taifa, maendeleo yao na jamii zinazowazunguka. Akizungumza leo,Desemba 11,2024 wakati wa mahafali ya 48 ya…

Read More

KATIBU MKUU AFYA ASISITIZA MATUMIZI SAHIHI YA KEMIKALI 

Na Mwandishi Wetu,Dodoma Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Dkt. John Jingu, amewatakawadau wa Kemikali kuzingatia matumizi salama na sahihiya kemikali ili kuchochea maendeleo katika nchi yetukwani kemikali ikitumika vizuri kwa kuzingatia miongozoina faida kubwa tofauti na pale inapotumika vibaya. Dkt. Jingu amesema hayo leo Desemba 11,2024 wakati akifungua mafunzoya siku tatu ya usimamizi na udhibiti…

Read More