MILLEN  MAGESE AMKABIDHI SH MILIONI TATU MWANAMITINDO BORA WA SAMIA FASHION FESTIVAL ZANZIBAR 

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MWANAMITINDO wa Kimataifa Millen Happiness Magese amekabidhi kitita cha Sh.milioni tatu kwa Mwanamitindo Elizabeth Masuka aliyeibuka mshindi wa Samia Fashion Festival Zanzibar mwaka 2024. Millen Happiness Magese aliyekuwa Jaji Mkuu wa Samia Fashion Festival Zanzibar alikabidhi hundi ya fedha yenye thamani ya Sh.milioni tatu katika Hoteli ya Urban by City…

Read More