VIJANA WATAKIWA KUSHIRIKI KUTOA MAONI DIRA YA TAIFA 2050
Na Aziza Masoud,Dar es SalaamWAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Watu wenye Ulemavu Ridhiwani Kikwete amewataka vijana kushiriki kikamilifu kuhakiki na kutoa maoni katika rasimu ya Dira Ya Taifa ya Maendeleo 2050 ili kuweza kupata Tanzania wanayoitaka. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana wakati wa kufungua mkutano mkuu wa vijana wa kuhakiki…