BANDARI TANGA YAINGIZA ZAIDI YA SH BILIONI 100/= NDANI YA MIEZI MITANO
Na Mwandishi Wetu,TangaBANDARI ya Tanga imeandika historia mpya katika ukusanyaji mapato baada ya kukusanya kiasi cha zaidi ya sh. bilioni 100 ndani ya miezi mitano ikiwa ni matokeo ya uboreshaji wa miundombinu uliofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan. Mapato hayo yanajumuisha sh. bilioni 57 za mapato ya…