MAVUNDE PAMOJA NA TAASISI YA DODOMA LEGENDS WATEMBELEA GEREZA KUU ISANGA DODOMA

Na Mwandishi Wetu,DodomaMBUNGE  wa Jimbo la Dodoma Mjini Anthony Mavunde, ametembelea Gereza Kuu Isanga akiambatana na wadau wa maendeleo Dodoma, maarufu kama ‘Dodoma Legends’ jana Desemba 28, 2024 na kupokewa na Kamishna wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza (CP) Nicodemus Tenga kwa niaba ya Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Tanzania (CGP) Jeremiah Katungu. Katika…

Read More