WAZIRI MAVUNDE ASIMAMISHA UCHIMBAJI MADINI KWENYE MTO ZILA WILAYANI CHUNYA
Na Mwandishi Wetu,Chunya WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde (Mb)* amesimamisha shughuli za uchimbaji zilizokuwa zikifanywa na kampuni ya G & I Tech Mining Company Ltd kwa kipindi hichi cha masika na pia mpaka pale tathmini ya kitaalam ya mazingira itapokamilika juu ya shughuli za uchimbaji madini kwenye Mto Zila. Ameyasema hayo Jana tarehe 30 Desemba,…