BoT YAZINDUA MFUMO WAKUWASILISHA MALALAMIKO
Na Aziza Masoud,Dar es Salaam BENKKuu ya Tanzania (BoT) inatarajia kuzindua mfumo wa kidigitali utakaomuwezesha mtumiaji wa huduma za kifedha kuwasilisha malalamiko, kuanzia Januari mwaka 2025. Kauli hiyo imetolewa leo Desemba 10,2024 na Kaimu Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Ustawi wa Huduma Jumuishi za Kifedha, BoT, Nangi Massawe amesema jijini Dar es Salaam wakati akifungua warsha ya…