DK.BITEKO KUFUNGUA MAONESHO YA MADINI GEITA

Mwandishi Wetu,Geita NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt.  Doto Biteko atazindua Maonesho ya Saba ya Kitaifa ya Teknolojia na Uwekezaji kwenye Sekta ya Madini Geita yaliyoanza Oktoba 2, kwenye viwanja vya Bombambili mkoani Geita. Akizungumza katika Banda la Tume ya Madini Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Martine Shigella ambae aliongozana na Afisa Madini…

Read More

WAMILIKI WA VIWANDA KAMPUNI, WAHIMIZWA KUJISAJILI

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam WAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) imewataka  wamiliki wa  viwanda na makampuni nchini kusajili bidhaa zao ili kuweza kupata uhakika wa masoko ndani na nje ya nchi. Akizungumza jana ,katikà Maonesho ya pili ya Kimataifa ya Viwanda nchini (TIME EXPO) yanayoendelea katoka  viwanja vya Sabasaba Dar es Salaam, Ofisa Leseni BRELA…

Read More

EQUITY,SSB KUWAWEZESHA WAFANYABIASHARA KUKOPA KIDIGITALI

 Na Aziza Masoud,Dar es Salaam BENKI ya Equity imesema wafanyabiashara ambao  wanatumia bidhaa za kampuni ya Said Salim Bakhresa(SSB) kwa sasa wana uwezo wakukopeshwa bidhaa hiyo hadi zaidi ya Sh Milioni 300. Akizungumza wakati wa kusaini makubaliano  hayo leo,Mkurugenzi wa biashara wa benki ya Equity  Leah Ayoub amesema makubaliano hayo yaliyoanza 2021. “Tunajua wasambazaji na wajasiriamali wengi wanapata  ya…

Read More

TAMASHA LA USAMBARA TOURISM FESTIVAL LITUMIKE KUHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA 

Na Ashrack Miraji Lushoto Tanga  MKUU wa Mkoa wa Tanga, Mhe. Dkt. Batilda Buriani ameagiza Tamasha la Utalii la Usambara 2024 (Usambara Tourism Festival 2024) litumike kuhamasisha Wananchi kushiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024. Amesema hayo  alipotembelea Wilayani Lushoto akiwa na Kamati ya Usalama ya Mkoa kwa ajili…

Read More

WANANCHI WA  MAGAMBA WATOA WITO KWA SERIKALI KUHUSU VIBALI VYA MGODI WA BOXIATE 

Na Ashrack Miraji  Lushoto Tanga Tanga: Wananchi wa Kata ya Magamba, wilaya ya Lushoto mkoani Tanga, wameiomba Serikali kutoa vibali kwa wawekezaji wa mgodi wa boxite ili waweze kujikwamua kiuchumi. Akizungumza kwa niaba ya wananchi Mwenyekiti wa Kitongoji cha Magamba, Mahamudu Kikoti, alizungumza na mwandishi wetu na kusema kuwa mradi huu ni fursa kubwa kwa…

Read More