MPINA AKATAA GARI LA INEC

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam MGOMBEA urais kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Luhaga Mpina, amechukua fomu ya kugombea nafasi ya hiyo leo, Septemba 13, 2025, katika ofisi za Tume Huru ya Uchaguzi (INEC), huku akitoa msimamo wa kipekee wa kukataa gari la kampeni aina ya Landcruiser linalotolewa na tume hiyo kwa wagombea. Mpina amekuwa mgombea…

Read More

TEKNOLOJIA YA KISASA YATAJWA KUWA KIKWAZO KUENDELEZA UCHUMI WA BULUU

Na Aziza Masoud,Dar es salaam SERIKALI imesema  ukosefu wa teknolojia za kisasa,takwimu sahihi na uelewa mdogo wa wananchi kuhusu fursa zilizopo katika uchumi wa buluu ni changamoto kubwa katika sekta ya bahari hivyo imewataka wadau kuzitafutia ufumbuzi. Akizungumza leo Septemba 10, 2025 katika uzinduzi wa  Kongamano la Uchumi wa Buluu lililoandaliwa na  Chuo cha Bahari…

Read More

TAWA YAMNASA SIMBA MLA MIFUGO KONDOA

Na Mwandishi wetu, Dodoma MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imefanikiwa kumkamata simba jike akiwa hai baada ya mfululizo wa mashambulizi ya wanyama hao kuua zaidi ya mifugo 20 katika Wilaya ya Kondoa, mkoani Dodoma. Simba huyo aliingia kwenye rada za askari wa TAWA majira ya saa 4 usiku, Septemba 6, 2025, katika kijiji…

Read More