NYONGO:TUTASIMAMIA UTEKELEZAJI WA DIRA YA MAENDELEO 2050
Na Aziza Masoud,Dar es Salaam SERIKALI imewataka wadau kuendelea kutoa maoni yakuboresha rasimu ya Dira ya Maendeleo 2050 na kuahidi kuyafanyia kazi kwakusimamia utekelezaji wake. Kauli hiyo imetolewa leo Januari 10, 2025 na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mipango na Uwekezaji),Stanslaus Nyongo wakati mkutano wa Asasi za Kiraia (AZAKI) wakati wakuhakiki rasimu ya Dira…