WAKILI MBEDULE AWATAKA WANANCHI IKUVILO KUHAKIKI TAARIFA ZAO
Mwandishi Wetu,IringaWANANCHI wa kijiji cha Ikuvilo kata ya Luhota wilaya ya Iringa vijijini wametakiwa kujitokeza kwa wingi kuhakiki taarifa zao ili waweze kupiga kura katika uchaguzi mkuu ujao. Hayo yamesemwa na mdau wa maendeleo na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wakili Sosten Mbedule mara baada ya kuhakiki taarifa zake. Amesema, ni vema kila mwananchi…