NAIBU WAZIRI KUNDO AONGOZA KIKAO KAZI NA WATUMISHI SEKTA YA MAJI PWANI
Na Mwandishi Wetu,PWANI NAIBU Waziri wa Maji Kundo Mathew ameanza ziara ya kikazi ya siku mbili katika mkoa wa Pwani yenye lengo la kuangal7a njia bora yakuboresha huduma ya maji katika mkoa huo. Kundo ameeleza dhumuni ya ziara yake ni kukutana wa wataalamu wa Sekta ya maji Mkoa wa Pwani na kukumbushana wajibu wao kwa…